Neh. 9:15 SUV

15 Ukawapa chakula toka mbinguni, kwa ajili ya njaa yao, na kwa ajili yao ukaleta maji kutoka mwambani, kwa sababu ya kiu yao, ukawaamuru kwamba waingie katika nchi na kuimiliki, ambayo umeinua mkono wako kuwapa.

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:15 katika mazingira