Neh. 9:18 SUV

18 Naam, hata walipojifanyia ndama ya kusubu, na kusema, Huyu ndiye Mungu wako aliyekupandisha kutoka Misri, tena walipokuwa wamefanya machukizo makuu;

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:18 katika mazingira