Neh. 9:30 SUV

30 Lakini miaka mingi ukachukuliana nao, nawe ukawashuhudia kwa roho yako kwa vinywa vya manabii wako; wao wasitake kusikiliza; kwa hiyo ukawatia katika mikono ya watu wa nchi.

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:30 katika mazingira