Neh. 9:37 SUV

37 Nayo yawapatia faida nyingi wafalme uliowaweka juu yetu kwa sababu ya dhambi zetu; tena wana mamlaka juu ya miili yetu, na juu ya wanyama wetu, kadiri wapendavyo, nasi tu katika dhiki kuu.

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:37 katika mazingira