Oba. 1:1 SUV

1 Maono yake Obadia.Ndivyo asemavyo Bwana MUNGU juu ya Edomu;Tumepata habari kwa BWANA,Na mjumbe ametumwa kati ya mataifa,Akisema, Haya, inukeni ninyi;Na tuinuke tupigane naye.

Kusoma sura kamili Oba. 1

Mtazamo Oba. 1:1 katika mazingira