Oba. 1:13 SUV

13 Usiingie katika lango la watu wangu, siku ya msiba wao; naam, usiyatazame mateso yao, siku ya msiba wao; wala usitie mikono yako juu ya mali zao, siku ya msiba wao.

Kusoma sura kamili Oba. 1

Mtazamo Oba. 1:13 katika mazingira