Oba. 1:19 SUV

19 Na watu wa Negebu wataumiliki mlima wa Esau; na watu wa Shefela watawamiliki Wafilisti; nao watalimiliki konde la Efraimu, na konde la Samaria, na Benyamini atamiliki Gileadi.

Kusoma sura kamili Oba. 1

Mtazamo Oba. 1:19 katika mazingira