Rut. 1:16 SUV

16 Naye Ruthu akasema,Usinisihi nikuache,Nirejee nisifuatane nawe;Maana wewe uendako nitakwenda,Na wewe ukaapo nitakaa.Watu wako watakuwa watu wangu,Na Mungu wako atakuwa Mungu wangu;

Kusoma sura kamili Rut. 1

Mtazamo Rut. 1:16 katika mazingira