Rut. 1:8 SUV

8 Kisha Naomi akawaambia wakweze wawili, Nendeni sasa mkarejee kila mmoja nyumbani kwa mamaye; BWANA na awatendee mema ninyi, kama ninyi mlivyowatendea mema hao waliofariki na mimi pia.

Kusoma sura kamili Rut. 1

Mtazamo Rut. 1:8 katika mazingira