Rut. 2:11 SUV

11 Naye Boazi akajibu, akamwambia, Nimeelezwa sana yote uliyomfanyia mkweo, tangu alipokufa mumeo; na jinsi ulivyowaacha baba yako na mama yako, na nchi yako uliyozaliwa, ukawafikilia watu usiowajua tangu hapo.

Kusoma sura kamili Rut. 2

Mtazamo Rut. 2:11 katika mazingira