Rut. 2:13 SUV

13 Ndipo aliposema, Bwana wangu, na nipate kibali machoni pako; kwa sababu wewe umeniburudisha moyo, na kumwambia mema mjakazi wako, ingawa mimi si kama mmojawapo wa wajakazi wako.

Kusoma sura kamili Rut. 2

Mtazamo Rut. 2:13 katika mazingira