Rut. 2:15 SUV

15 Naye alipoinuka tena ili aende kuokota masazo, huyo Boazi aliwaagiza vijana wake akisema, Mwacheni aokote hata kati ya miganda, wala msimkemee.

Kusoma sura kamili Rut. 2

Mtazamo Rut. 2:15 katika mazingira