Rut. 2:2 SUV

2 Naye Ruthu Mmoabi akamwambia Naomi, Sasa niende kondeni, niokote masazo ya masuke nyuma yake yule ambaye nitaona kibali machoni pake. Akamwambia, Haya, mwanangu, nenda.

Kusoma sura kamili Rut. 2

Mtazamo Rut. 2:2 katika mazingira