Rut. 2:9 SUV

9 Macho yako na yaelekee konde walivunalo, ufuatane nao; je! Sikuwaagiza vijana wasikuguse? Tena, ukiona kiu, uende kwenye vyombo, nawe uyanywe waliyoyateka hao vijana.

Kusoma sura kamili Rut. 2

Mtazamo Rut. 2:9 katika mazingira