Rut. 3:16 SUV

16 Basi alipofika kwa mkwewe, huyo akamwuliza, Je! Mwanangu, imekuwaje? Akamwambia yote yule mtu aliyomfanyia.

Kusoma sura kamili Rut. 3

Mtazamo Rut. 3:16 katika mazingira