Rut. 3:18 SUV

18 Naye mkwewe akasema, Basi, mwanangu, tulia; hata utakapojua jinsi litakavyotukia jambo hili; kwa sababu mtu huyu hataridhika, asipolimaliza jambo hilo leo.

Kusoma sura kamili Rut. 3

Mtazamo Rut. 3:18 katika mazingira