Rut. 3:2 SUV

2 Basi na huyu Boazi, je! Siye wa mbari yetu, ambaye ulikuwapo pamoja na wasichana wake? Tazama, usiku wa leo atakuwa akipepeta shayiri pale ugani.

Kusoma sura kamili Rut. 3

Mtazamo Rut. 3:2 katika mazingira