Rut. 3:7 SUV

7 Ikawa huyo Boazi alipokwisha kula na kunywa, na moyo wake umekunjuka, alikwenda kulala penye mwisho wa chungu ya nafaka; na huyo mwanamke akaja taratibu, akaifunua miguu yake, akajilaza papo hapo.

Kusoma sura kamili Rut. 3

Mtazamo Rut. 3:7 katika mazingira