12 Nyumba yako na ifanane na nyumba yake Peresi, ambaye kwamba Tamari alimzalia Yuda, kwa wazao atakaokupa BWANA katika mwanamke huyu.
Kusoma sura kamili Rut. 4
Mtazamo Rut. 4:12 katika mazingira