Rut. 4:15 SUV

15 Naye atakurejezea uhai wako, na kukuangalia katika uzee wako; kwa maana mkweo, ambaye akupenda, naye anakufaa kuliko watoto saba, ndiye aliyemzaa.

Kusoma sura kamili Rut. 4

Mtazamo Rut. 4:15 katika mazingira