11 BWANA atakuwa mwenye kuwatisha sana; kwa maana atawafisha kwa njaa miungu yote ya dunia; na watu watamsujudia yeye, kila mtu toka mahali pake; naam, nchi zote za mataifa.
Kusoma sura kamili Sef. 2
Mtazamo Sef. 2:11 katika mazingira