Sef. 2:15 SUV

15 Huu ndio mji ule wa furaha,Uliokaa pasipo kufikiri,Uliosema moyoni mwake, Mimi niko,Wala hapana mwingine ila mimi.Jinsi ulivyokuwa ukiwa,Mahali pa kulala pa wanyama wa bara!Kila mtu apitaye atazomea,Na kutikisa mkono wake.

Kusoma sura kamili Sef. 2

Mtazamo Sef. 2:15 katika mazingira