Sef. 3:13 SUV

13 Mabaki ya Israeli hawatatenda uovu, wala kusema uongo; wala ulimi wa hadaa hautaonekana kinywani mwao; kwa maana watakula na kulala, wala hapana mtu atakayewaogofya.

Kusoma sura kamili Sef. 3

Mtazamo Sef. 3:13 katika mazingira