Sef. 3:20 SUV

20 Wakati huo nitawaingizeni, na wakati huo nitawakusanya; kwa maana nitawafanya ninyi kuwa sifa na jina, miongoni mwa watu wote wa dunia, nitakapowarudisha wafungwa wenu mbele ya macho yenu, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Sef. 3

Mtazamo Sef. 3:20 katika mazingira