5 BWANA kati yake ni mwenye haki; hatatenda uovu; kila asubuhi hudhihirisha hukumu yake, wala hakomi; bali mtu asiye haki hajui kuona haya.
Kusoma sura kamili Sef. 3
Mtazamo Sef. 3:5 katika mazingira