Sef. 3:9 SUV

9 Maana hapo ndipo nitakapowarudishia mataifa lugha iliyo safi, wapate kuliitia jina la BWANA, wamtumikie kwa nia moja.

Kusoma sura kamili Sef. 3

Mtazamo Sef. 3:9 katika mazingira