Yoe. 1:2 SUV

2 Sikieni haya, enyi wazee;Sikilizeni, enyi wenyeji wote wa nchi.Je! Mambo haya yamekuwako katika siku zenu,Au katika siku za baba zenu?

Kusoma sura kamili Yoe. 1

Mtazamo Yoe. 1:2 katika mazingira