17 Hao makuhani, wahudumu wa BWANA, na walieKati ya patakatifu na madhabahu,Na waseme, Uwaachilie watu wako, Ee BWANA,Wala usiutoe urithi wako upate aibu,Hata mataifa watawale juu yao;Kwani waseme kati ya watu, Yuko wapi Mungu wao?
Kusoma sura kamili Yoe. 2
Mtazamo Yoe. 2:17 katika mazingira