Yoe. 2:26 SUV

26 Nanyi mtakula chakula tele na kushiba, na kulihimidi jina la BWANA, Mungu wenu, aliyewatendea mambo ya ajabu; na watu wangu hawatatahayari kamwe.

Kusoma sura kamili Yoe. 2

Mtazamo Yoe. 2:26 katika mazingira