Yoe. 2:28 SUV

28 Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono;

Kusoma sura kamili Yoe. 2

Mtazamo Yoe. 2:28 katika mazingira