Yoe. 3:11 SUV

11 Fanyeni haraka, mje, enyi mataifa yote, wa pande zote, jikusanyeni pamoja; na huko watelemshe mashujaa wako wote, Ee BWANA.

Kusoma sura kamili Yoe. 3

Mtazamo Yoe. 3:11 katika mazingira