13 Haya! Utieni mundu, maana mavuno yameiva; njoni, kanyageni; kwa maana shinikizo limejaa, mapipa nayo yanafurika; kwani uovu wao ni mwingi sana.
Kusoma sura kamili Yoe. 3
Mtazamo Yoe. 3:13 katika mazingira