Yoe. 3:4 SUV

4 Naam, na ninyi ni kitu gani kwangu, enyi Tiro, na Sidoni, na nchi zote za Filisti? Je! Mtanirudishia malipo? Au mtanitenda neno lo lote? Upesi na kwa haraka nitawarudishia malipo yenu juu ya vichwa vyenu wenyewe.

Kusoma sura kamili Yoe. 3

Mtazamo Yoe. 3:4 katika mazingira