13 Lakini wale watu wakavuta makasia kwa nguvu, ili wapate kurudi pwani, wasiweze; kwa maana bahari ilizidi kuwachafukia sana.
Kusoma sura kamili Yon. 1
Mtazamo Yon. 1:13 katika mazingira