2 Akasema,Nalimlilia BWANA kwa sababu ya shida yangu,Naye akaniitikia;Katika tumbo la kuzimu naliomba,Nawe ukasikia sauti yangu.
Kusoma sura kamili Yon. 2
Mtazamo Yon. 2:2 katika mazingira