9 Lakini mimi nitakutolea sadaka kwa sauti ya shukrani;Nitaziondoa nadhiri zangu.Wokovu hutoka kwa BWANA.
Kusoma sura kamili Yon. 2
Mtazamo Yon. 2:9 katika mazingira