Yon. 3:6 SUV

6 Habari ikamfikia mfalme wa Ninawi, naye akaondoka katika kiti chake cha enzi, akavua vazi lake, akajivika nguo za magunia, na kuketi katika majivu.

Kusoma sura kamili Yon. 3

Mtazamo Yon. 3:6 katika mazingira