Yon. 3:8 SUV

8 bali na wafunikwe nguo za magunia, mwanadamu na mnyama pia, nao wakamlilie Mungu kwa nguvu, naam, na wageuke, kila mtu akaache njia yake mbaya, na udhalimu ulio mikononi mwake.

Kusoma sura kamili Yon. 3

Mtazamo Yon. 3:8 katika mazingira