10 Bwana akamwambia, Wewe umeuhurumia mtango, ambao hukuufanyia kazi, wala kuuotesha; uliomea katika usiku mmoja, na kuangamia katika usiku mmoja;
Kusoma sura kamili Yon. 4
Mtazamo Yon. 4:10 katika mazingira