5 Ndipo Yona akatoka mjini, akaketi upande wa mashariki wa mji, akajifanyia kibanda huko, akakaa chini yake uvulini, hata aone mji ule utakuwaje.
Kusoma sura kamili Yon. 4
Mtazamo Yon. 4:5 katika mazingira