Yon. 4:8 SUV

8 Basi ikawa, jua lilipopanda juu, Mungu akaweka tayari upepo wa mashariki, wenye hari nyingi; jua likampiga Yona kichwani, hata akazimia, naye akajitakia kufa, akasema, Ni afadhali nife mimi kuliko kuishi.

Kusoma sura kamili Yon. 4

Mtazamo Yon. 4:8 katika mazingira