1 Mimi Petro, mtume wa Yesu Kristo, nawaandikia nyinyi wateule wa Mungu Baba, ambao mmetawanyika na mnaishi kama wakimbizi huko Ponto, Galatia, Kapadokia, Asia na Bithunia.
Kusoma sura kamili 1 Petro 1
Mtazamo 1 Petro 1:1 katika mazingira