1 Petro 1:2 BHN

2 Mungu Baba aliwateua nyinyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na Roho, mpate kumtii Yesu Kristo na kusafishwa kwa damu yake.Nawatakieni neema na amani tele.

Kusoma sura kamili 1 Petro 1

Mtazamo 1 Petro 1:2 katika mazingira