1 Petro 1:3 BHN

3 Asifiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Kwa huruma yake kuu alitufanya tuzaliwe upya kwa kumfufua Yesu kutoka kwa wafu. Ametujalia tumaini lenye uhai,

Kusoma sura kamili 1 Petro 1

Mtazamo 1 Petro 1:3 katika mazingira