1 Petro 1:17 BHN

17 Mnapomtaja Mungu, nyinyi humwita Baba. Basi, jueni kwamba yeye humhukumu kila mmoja kadiri ya matendo yake, bila ubaguzi. Hivyo tumieni wakati wenu uliowabakia hapa ugenini katika kumcha Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Petro 1

Mtazamo 1 Petro 1:17 katika mazingira