1 Petro 1:18 BHN

18 Maana mnajua kwamba nyinyi mlikombolewa katika mwenendo wenu usiofaa ambao mliupokea kutoka kwa wazee wenu. Lakini hamkukombolewa kwa vitu vyenye kuharibika: Kwa fedha na dhahabu;

Kusoma sura kamili 1 Petro 1

Mtazamo 1 Petro 1:18 katika mazingira