22 Maadamu sasa, kwa kuutii ukweli, nyinyi mmezitakasa roho zenu na kuwapenda wenzenu bila unafiki, basi, pendaneni kwa moyo wote.
Kusoma sura kamili 1 Petro 1
Mtazamo 1 Petro 1:22 katika mazingira