23 Maana kwa njia ya neno hai la Mungu, nyinyi mmezaliwa upya, si kama watoto wa baba awezaye kufa, bali baba asiyekufa milele.
Kusoma sura kamili 1 Petro 1
Mtazamo 1 Petro 1:23 katika mazingira