1 Petro 1:24 BHN

24 Kama Maandiko yasemavyo:“Kila binadamu ni kama majani,na utukufu wake wote ni kama ua la majani.Majani hunyauka na maua huanguka.

Kusoma sura kamili 1 Petro 1

Mtazamo 1 Petro 1:24 katika mazingira