5 Hizo zitakuwa zenu nyinyi ambao kwa imani mnalindwa salama kwa nguvu ya Mungu kwa ajili ya wokovu ambao uko tayari kufunuliwa mwishoni mwa nyakati.
Kusoma sura kamili 1 Petro 1
Mtazamo 1 Petro 1:5 katika mazingira